by Otsieno Godrick | Aug 23, 2023 | issue 6
Mapambano kati ya ubepari na ujamaa nchini Kenya yana historia ndefu. Lakini hayakuwa mapambano yaliyo sawa, kwani ukoloni ulikuwa tayari umeanzisha ubepari kwa nguvu tangia siku za awali. Na bado, ubepari haukuweza kukidhi mahitaji ya watu, kama inavyodhibitishwa na...